IRAN YAITAKA MAREKANI KUMWACHIA HURU RAIS MADURO
Jan 5, 2026
Iran imetoa wito wa kuachiwa kwa Nicholas Maduro, mshirika wa wake wa karibu ambaye alikamatwa katika oparesheni ya Marekani na kuhamishiwa jijini New York kushtakiwa.
"Rais wa nchi na mkewe walitekwa, hilo sio jambo la kujivunia, ni kinyume na sheria, kama walivyosema raia wa Venezuela, Rais wao ni lazima aachiwe" Esmail Baqaei - Msemaji wa Wizara yamambo ya kigeni wa Iran
