MWILI WA MBUNGE HALIMA IDDY NASSORO WAZIKWA LEO
Jan 18, 2026
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Marehemu Halima Idd Nassor, Kigamboni jijini Dar es Salaam umezikwa jioni ya leo, Januari 18, 2026 katika Makaburi ya Kibada kwa Dole Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.
Halima amefariki leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
