MUSEVENI ATANGAZWA MSHINDI WA MATOKEO YA URAIS UGANDA
Jan 17, 2026
TUME ya Uchaguzi nchini Uganda (EC), imemtangaza rasmi Yoweri Kaguta Museveni kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Uganda kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Alhamisi Januari 15, 2026.
Mwenyekiti wa EC ametangaza matokeo hayo leo ikiwa ni kuhitimishwa kwa mchakato wa kuhesabu kura uliokuwa ukisubiriwa.
Museveni ataiongoza Uganda kwa muhula mwingine na kumfanya kukaa madarakani tangu mwaka 1986
