MOSHI.
KATIBU Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Kiseo Nzowa akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe na Mara mwaka 2012/2016, Kapteni Aseri Msangi nyumbani kwa marehemu Chekereni wilayani Moshi aliyefariki Dunia Januari 2 mwaka huu.