Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
BREAKING:MOTO WATEKETEZA MADUKA ZAIDI YA 10 DAR

BREAKING:MOTO WATEKETEZA MADUKA ZAIDI YA 10 DAR

 


MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado kufahamika umeteketeza maduka 11 ya bidhaa mbalimbali yakiwemo ya nguo na matairi, eneo Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo Januari 05, 2025.

Mashuhuda wameueleza mtandao wa Matukio Daima kuwa  hadi sasa hawajui chanzo cha moto huo. 

Sofia Mligo Mrakiribu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Kinondoni na Ubungo, amelielezea tukio hilo jinsi lilivyotokea.




Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3