Kwa Habari za kitaifa, Kimataifa, Michezo, Burudani,Uchambuzi na matangazo. Matukio Daima Blog, Ni yetu Sote!
VENEZUELA KUIBADILISHA SHERIA YA SEKTA YA MAFUTA..

VENEZUELA KUIBADILISHA SHERIA YA SEKTA YA MAFUTA..


Hatua inayolenga kurekebisha uhusiano na Marekani kufuatia kuondolewa madarakani kwa mtangulizi wake Nicolas Maduro.

 Rais wa mpito wa Venezuela Delcy Rodriguez ametangaza kuwa atafanya mageuzi ya kisheria katika sekta muhimu ya mafuta nchini humo, hatua inayolenga kurekebisha uhusiano na Marekani kufuatia kuondolewa madarakani kwa mtangulizi wake Nicolas Maduro. 

Hata hivyo Rodriguez amesema serikali yake haiogopi mzozo wa kidiplomasia na Marekani licha ya kufahamu nguvu na uwezo wa nchi hiyo.

 Tangu kutekwa kwa Maduro Januari 3, Rais Donald Trump amekuwa akidai kuwa Marekani ndio inayoidhibiti Venezuela na kusimamia sekta ya mafuta. 

Sponsored ads

Mid 1

Mid2

Ad3