KIMATAIFA KITAIFA HUDUMA YA MTANDAO YAREJESHWA NCHINI UGANDA By Gasper Jan 18, 2026 Mtandao umerejeshwa nchini Uganda saa chache baada ya kutangazwa kuwa Yoweri Museveni ameshinda uchaguzi wa Urais. Serikali ilikuwa imefun...
KIMATAIFA KITAIFA VENEZUELA KUIBADILISHA SHERIA YA SEKTA YA MAFUTA.. By Gasper Jan 17, 2026 Hatua inayolenga kurekebisha uhusiano na Marekani kufuatia kuondolewa madarakani kwa mtangulizi wake Nicolas Maduro. Rais wa mpito wa Venez...
KIMATAIFA KITAIFA MUSEVENI ATANGAZWA MSHINDI WA MATOKEO YA URAIS UGANDA By Gasper 1/17/2026 TUME ya Uchaguzi nchini Uganda (EC), imemtangaza rasmi Yoweri Kaguta Museveni kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Uganda kufuatia Uchaguzi Mkuu...
KIMATAIFA KITAIFA SERIKALI YA UGANDA YAKANUSHA MADAI YA BOBE WINE KUWEKWA KIZUIZINI By Gasper Jan 16, 2026 SERIKALI ya Uganda imekanusha madai kuwa Kiongozi wa upinzani Bobi Wine amewekwa katika kizuizi cha nyumbani kufuatia Uchaguzi Mkuu. Msema...
KIMATAIFA MUSEVENI AONGOZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA ASILIMIA 7 By Gasper 1/16/2026 Tume ya Uchaguzi ya Uganda imetangaza matokeo ya awali yanayoonyesha Rais Yoweri Museveni akiendelea kuongoza ASILIMIA 76.25 katika kinyan...
KIMATAIFA KAMPUNI YA MAFUTA YA MAREKANI KUANZA KUFANYA KAZI VENEZUELA-TRUMP By Gasper Jan 6, 2026 Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa sekta ya mafuta ya Marekani inaweza kuanza kufanya kazi kikamilifu nchini Venezuela ndani ya ki...
KIMATAIFA KITAIFA RAIS MUSEVENI AVUNJA UKIMYA UVAMIZI WA MAREKANI NCHINI VENEZUELA By Gasper Jan 5, 2026 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuimarisha umoja wa kijeshi na kimkakati ili kulinda usalama wa ...
KIMATAIFA KITAIFA MADURO NA MKEWE WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO By Gasper 1/05/2026 Dunia inashuhudia historia mpya muda huu na ni ajabu, Leo rasmi Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameonekana akisafirishwa chini ya ulinz...